Biashara ya Unga wa Sembe

See more by Ali Mwambola

Available at Select Retailers

About the author

Ali Mwambola

Ali Mwambola ni Mkurgenzi mwendeshaji wa AVIC Coonsultants ya Dar es Salaam ambayo inafundisha elimu ya ujasiriamali kupitia videos, vitabu na mafunzo ya mitandaoni (online training). Hiki ni kitabu cha kwanza ambacho kimechapishwa na vingine vingi vitachapishwa hivi karibuni. Ni matumaini yetu, tutakuwa tumewasaidia wajasiriamali wa Tanzania, kupata elimu itakayo wasaidia kuendesha shughuli zao za ujasiriamaili kwa ufanisi zaidi