About the author

Ali Mwambola

<p>Ali Mwambola ni Mkurgenzi mwendeshaji wa AVIC Coonsultants ya Dar es Salaam ambayo inafundisha elimu ya ujasiriamali kupitia videos, vitabu na mafunzo ya mitandaoni (online training). Hiki ni kitabu cha kwanza ambacho kimechapishwa na vingine vingi vitachapishwa hivi karibuni. Ni matumaini yetu, tutakuwa tumewasaidia wajasiriamali wa Tanzania, kupata elimu itakayo wasaidia kuendesha shughuli zao za ujasiriamaili kwa ufanisi zaidi</p>