Mwongozo huu umetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kuwafaa wanafunzi na walimu katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali riwaya ya Chozi la Heri. Vipengele hivi ni pamoja na ploti, dhamira, maudhui, mbinu za lugha, wahusika na uhusika wao. Ni mwongozo ambao unarahisisha uelewaji …